Tafadhali subiri kidogo
Tengeneza mialiko ya harusi ya kidigitali kwa dakika chache tu. Tuma kwa wageni wako kupitia WhatsApp, SMS na Email. Fuatilia RSVP na simamia siku yako kuu kwa urahisi.

Mamia ya wapenda harusi wamefanya siku zao kuwa za kipekee na SmartKadi
Zana kamili za kusimamia harusi yako kutoka kuanza hadi mwisho
Chagua kutoka kwa templates nyingi za kisasa. Badilisha rangi, fonti na picha kulingana na mtindo wako.
Ongeza, hariri na simamia orodha ya wageni wako. Pakua au ingiza wageni kwa wingi.
Sambaza mialiko kupitia WhatsApp, SMS na Email. Moja kwa moja kwa wageni wako.
Fuatilia jibu za wageni wako. Jua nani anakuja na nani hajathibitisha.
Panga matukio yote ya harusi yako. Tuma vikumbusho kwa wageni.
Angalia takwimu za mialiko, RSVP na matumizi ya fedha. Fanya maamuzi sahihi.
Soma maoni kutoka kwa wapenda harusi wenzetu ambao wametumia SmartKadi
"SmartKadi ilitusaidia sana! Tulipanga harusi yetu yote kwa urahisi. Mialiko ilikuwa mizuri na wageni waliipenda sana. Asante!"
"Mfumo huu ni wa kipekee! Tuliweza kutuma mialiko kwa wageni wote kwa dakika chache tu. RSVP system ilikuwa rahisi sana. Highly recommended!"
"Nimependa sana jinsi mfumo unavyokuwa rahisi. Tulibadilisha rangi na kuongeza picha zetu. Wageni walipokea mialiko vizuri kupitia WhatsApp!"
Jiunga na wapenda harusi 500+ wanaotumia SmartKadi. Fanya harusi yako kuwa ya kipekee leo!